Rusty - Tafash lyrics
rate meIntroRustyRaundi hii ni GengeNafanya mchekeNikiwapatia true storyYa Manzi yanguMnataka kuiskiza?Mnataka kuiskiza?Ndio hiyo, sawa.ChorusTafash Jo, kukupenda manzi yanguTafash Jo, kukutembelea kwenyuTafash Jo, ningehandwa juu yakoTafash Jo, Tafash Jo, I say x2Verse 1Nakumbuka hiyo day tumeenda ku partyDowntown tuka go kukutana na ShawtyKufika kwa gate, tukapata WochiNiwasaidie vipi mothama ni mngoriTunataka Shee tuongee one minuteHaya ingieni mkipatwa shida yenuKufika kwa door, tuka meet na ShiroKabla hajagota, matha akafungua diroMnafanya nini?, na mnataka nini?Nawapa 5 minutes au niite PolisiSi hatuna noma tumeleta tu salamuNa kama huamini tuandike kwa kalamuVerse 2After kutoa uzushi matha akatoka njeNani ana psych asimame ni mvunje?Tukajifanya chizi na kukula mbao finjeDame alitoka tukadai ajificheKuona kumethoka wochi akatudandiaAli come na madogi na life kututishiaAlikuwa amevaa, label moja ya bandiaAkaanza kuturuka ati si tuna hatiaMbuyu akatoka, kama ametuhandaHawa wanajua wanakaa kwa kibandaWanataka kuharibu msichana Kwa kitandaWote wakadai ati sisi ni ma dunderVerse 3Noma ikazidi na si tukakaidiSiku si ya idi na tumewakisha udiMagova waka come, na kutuita kandoMmoja wao, alikuwa ni OnyangoNani hii nyangau? Na italala ndani! Tukadai sio noma, niku by-passMbuyu akasema, tunaishi ghettoTafash Jo, kumbe ningekatiziwaTafash Jo, kumbe mimi ningeshikwaTafash Jo, kumbe ningekatiziwaTafash Jo, kumbe mimi ningeshikwaOutroManze kutembelea dameKwao manze ni Tafash JoUsijaribu, chunga usipatikaneUkipatikana ni mwatharaHii ni Tafash manzeRaundi hii ni kunomaAlters RecordsSkiza hiiDedication ya wasee wote wa ghettoNi ngumu ka metal