Rusty - Sanaa lyrics
rate meChorusSkiza mistari, vile mimi natimizaNdoto yangu, kutoka kwenye gizaKwenye Sanaa, msanii natumbuizaWengi walisema, mziki sio careerKaa chini, bro hebu fikiriaKushika MIC, kajifunza kuitumiaKwenye mawazo, yangu natiliaMkazo mkali, basi masaa yatimiaVerse 1Saa hii nimeibukaMasaa imefika wasanii kugutukaKutoka underground, this time nainukaMziki elimisha wala sio kwa payukaSkia hiyo beat vile mi nimeisukaPiracy mitumba, Origy Ni Kwa dukaHip Hop iligenya saa hii imefufukaUsiponisikia we mwenyewe utajutaMajuto Ni mjukuu basi we usijiduuyeahVerse 2Tangu nianze usanii kuna madeni nimekopaPengine ningechanga doh, ningekuwa Na chopperSaa hii mi celeb, underground nimetokaNimetoka mbali, ukiniona we torokaKufuata, mafala, wajanja naogopaMbio za nyikani, any time nachomokaWazazi wanikanya, wanasema napotokaKijana nsikilize mi mamako naokokaDunia mbaya sana, na ufalme ni wa nyokaVijana, wasichana wote wanacheza sokaNini?, eti wanacheza soccer! Vijana, wasichana wote wanacheza soccerVerse 3Ma time zimefika Piaily Na Babily kujulikanaKutoka long time, this time twapambanaBidii toka nayo tume hustle tena sanaMethali yangu, Ina maana nyingi SanaWengi wameshindwa kuichambua noma SanaMziki sio game usipo hit uwe blame jinga SanaNakupa tabasamu mikono nakurushiaMaisha ni machungu na raha kukimbiliaBig Unit tunasema huwezi tukimbiaPopote utaenda sisi tutakufikiaNakupa kitu kali Piaily Na Rusty boyA.k.a. WakilyOutroUkoo GaniSquad SafiMoss, Piaily, Babily na Rinty BintyYeahOne Luv