Rusty - Mr. Policeman lyrics
rate meIntroRustyFeaturingSquad SafiSounland ProductionChorusMr. Policeman, AfandeUsinishike juu nimebeba kipandeMimi sio jambaziMimi sio jambaziMimi sio jambaziMimi sio jambaziMimi Ni artiste, wa GILONaimba bila kuvuruga amaniMimi sio jambaziMimi sio jambaziMimi sio jambaziMimi sio jambaziVerse 1Polisi wakijaribu kutushika hatushikikiWakijaribu kututisha hatutishikiKwenye rodi tunapitapitaSi ma hustler hatubabaikiWanasema mi ni mungikiJuu niko na nywele bigiWanasema nimebeba bangiNasijatoka KariobangiHizi kashfa wanaleta letaKwenye Tele tunateta tetaHawajui Mimi ni artisteToka kwenye mitaa ya katiNa hustle game yangu ni dirtyPolisi hawani pati patiLeo Afande hakuna hongoAfadhali mi nilale ndaniVerse 2Mr. PolicemanKwani ni aje jo! Nikitoka mitaani, wanihanda dohHii story hainibambi juu isha ni boreEti nimetoka wapi hepi CarnivoreAnadai niwache ata ka ni sooStory ya kutoa kidogo nilisema noRusty na bado tunawapa moreRisky niko undercover joKupoteza kipande imekuwa blunder joAh, imekuwa blunder joKupoteza kipande imekuwa blunder joRisky, yeahVerse 3Ma youth wanahandwa ovyo ovyoWanapigwa, hawapewi onyoPolisi wakitafuta hongoWanasema hatuna ubongoTukiteta si ni waongoKashfa mob Kama GithongoKulia si hatutakiKuumizwa si hatutakiKuumizwa si hatutakiKushikwa si hatutakiBridgeMr. PolicemanO oohMr. PolicemanNo oooMr. PolicemanO oohMr. PolicemanNo ooo x2