Rusty

Rusty - Maisha Yamenipoza lyrics

rate me

IntroRustyFeaturing TwistyNa GeneraliSound land RecordsMaisha Yamenipoza jo! Nimeamua ku chillAu sio jo! Au sio, Yeah.ChorusMaisha yamenipozaKweli ninabaki mi nawazaVirusi vya ukimwi kunipataNaona Kama Mimi ntajimada, Aah! Ewe Mola nisameheWatu wote sasa wanihepaMimi Leo nimebaki pekee yanguNashindwa nitaishi ama kufa, Aah! Verse 1Nimeishi siku nyingi bila kuipata dhikiLeo niko hapa mi mwenzako nasadikiNimekula raha siku nyingi zaidi ya wikiBila kujua siku moja nitakosa tikiMpenzi wangu ameaga naye jina lake VickyMajirani wanitenga kuniongezea dhikiNilidhani wazuri kumbe hao wanafikiWalianza matusi kuharibu urafikiGhafla ikawa sipati hata rizikiMaisha Ni magumu sifanyi tena mzikiNingekuwa Na Mali ningenunua SuzukiNiende nayo mbali nikafie UturukiKwa jamii bila pesa Ni Kama sikubalikiNikisema chochote Ni Kama siaminikiKilio nalia lakini hakisikikiNawasihi muombe Na Mola awabarikiVerse 2Yeah, HIV haina cureLakini yaweza preventiwaNi juu yetu soteIkiwa uko pureMimi hapa najaribu kutafuta cureHuku niki preventiwa, Na hali ilivyoWengi wameaga, wengine mayatimaIkiwa unataka kuwa kioo cha jamiiLazima uwe nami tukisuluhisha jambo hiliNajua HIV haina cureLakini yaweza preventiwaMradi uwe mwaminifuWapenzi watukufuNi wale watembeaoKatika njia za hakiMabeshte wacheni takiUpendo, wa dhatiHuja tu Kwa marafikiDate za kisirisiriSiku moja ama mbiliUtajikuta Kwa kaburiKufungua, kituoNi kipindi cha penzi hatariHatakama una MaliHIV haitambuiVerse 3I say dont be afraid hata ka una stressSomething normal tume come ku addressMake sure youre busy every time una stressAma u meet hiyo counsel upewe hiyo adviceJust ikiwa tough utter word to the Lord aku blessWasee nawa show si poa kuji stressNataka mnieleweUkweli si uwongoNiwaelezayo inatoka kwenye moyoMachali wana goMambuyu wana goWamasa wana goNa mamanzi wana goWatu wengi wana goYeah, yeah yeahDont be afraid ata ka una stressSomething normal tume come ku addressMake sure youre busy every time una stressAma u meet hiyo counsel upewe hiyo advice

Get this song at:  amazon.com  sheetmusicplus.com

Share your thoughts

0 Comments found