Rusty - Hapendi lyrics
rate meIntroSquad SafiSoundland RecordsAaaaahAaaaah! ChorusHapendi kunicheki mi nikilialiaHapendi kunicheki mi nikiumiaumiaHapendi kunicheki mi nikiyajutiaAaaaahNikiyajutiaNiki Nikiyajutia x2Verse 1Life, ikienda enda astrayHapendi kunicheki cheki niki suffer painNikiwa broke huwa ye ana make it rainSipati zero kwake always, nina gainSifanyi secular coz now am born againJuu yetu msalabani Christ ali suffer painTupate kuepuka mitego za shetaniTupate ku sevika kutoka kwa madhambiVerse 2Saa zingine, vitu zenye si hufanyaHuwa zinakasirisha Mungu TENA SANAKutenda dhambi, pia hata na kuhanyaZote hizo, mimi nasema hapanaKutia chumvi, pia na kutukananaHata kutenda maovu yasiyo na maanaUlevi mwingi, wamama kusengenyanaZote nasema hapana zote nasema hapanaVerse 3Sasa natangaza, captives all freeIn the name of Jesus, the blind now fi seeMiaka mingi shetani nakupa bye byeKwaheri ya kuonana vako zako ni za lie (lie)We ni liar, we ni Ibilisi mkubwaKuwafanya wanadamu kuwa kama wafungwaLeo natangaza haya yote hadharaniLeo natangaza vita dhidi ya shetaniVerse 4Hapendi kuniona mi nikilialiaTangu kitambo kwa dhambi niliingiliaLakini bado, MOLA umenishikiliaNdio maana, kwako nimekimbiliaNimeokoka, Kwa dhambi Mimi sitaliaUnani protect, yaani waniangaliaNeno lako, forever nitashikiliaShetani hanioni kwako nimekwamilia