Rusty

Rusty - Emma lyrics

rate me

IntroYeahBig Unit-Genge Mufti2008Dedication to EmmaAlters RecordsYeahTwendeAhaShaSha Mo na RustyChorusMpenzi wangu EmmaMi nakupenda nasemaMacho yako yamenivutiaMashallah! (Mashallah! )Why Lie! (Why Lie) x3Verse 1Mpenzi wangu EmmaNi kweli mi nasemaMi bado nakupendaHata watu wakinenaSiwezi kukutemaNinakuwazia memaKwa siku zangu zoteBado mema nitatendaNaapa mpenziSitoweza kukutengaWengi walisemaSiwezi kukupataStory nikakataNisije kukuhataNafanya uradi fastaNiweze kuwa naweUkidrill kwenye highwayNa feel kuwa naweYeahna feel kuwa naweVerse 2Nakupa tabasamu mikono nakurushiaMaisha ni machungu na raha kukimbiliaBig Unit tunasema, huwezi tukimbiaPopote utaenda sisi tutakufikiaNajua uko poa mrembo wakubugiaMara ninapolala ni wewe nafikiriaAaah, Ni msanii kwa sanaaNi kweli ninasema kunihepa ni balaaUnabaki umeshangaaNdio maana tunasemaHivi na vile vileKutoka siku ileJD naitwa heroKutoka hapa GILOPretty EmmaMi sikupi vitishoNakupa langu himizoNa hope sio tatizoNdio life siku hizoHivo jinsi ilivyoYa kweli kutimizaJapo swali we ulizaYeahJapo swali we ulizaVerse 3Na saa ukinijiaMasaa yatimiaWazo langu tuliaYote mengi ya duniaSahau yalopitaMateso kadri vitaNa mi nakuitaUkweli sitofichaBanyes Twist GuitarUshow zote featuresMziki utaniFikisha mbali SanaNa hope ndio futureManake sio natureManake tunawika tukidai every timePretty EmmaI love you so muchBaby, I love you so muchOutroBig up Mafans wote wa GILOSkug UnitSquad SafiMadedixTuko pamoja tu yaaniAu sio!

Get this song at:  amazon.com  sheetmusicplus.com

Share your thoughts

0 Comments found