Rusty Kenyan Gucci

Rusty Kenyan Gucci - Niko Upside lyrics

rate me

<b>Niko Upside</b> by <i>Rusty Kenyan Gucci</i><br />Intro

Rusty boy

Na mc rank

Alter productshizzle

Leo niko upside

Upside

Chorus

Leo niko upside, leo niko upside

Nimechoka na underground

Nipe nafasi, nipe nafasi

Usiwe na wasi au kasi x2

VERSE 1

Ni wengi wanasema kuwa mimi niko down,

Nawapa kitu kali kumliko sean paul,

Utanicheki kwa TV ukiwa tu hapo home,

Relax utulie na ufungue diro,

Joto ikizidi basi, toa tisho

Mi huenda ma lap nikichapa tu ma show,

Usanii iko kwa blood si kitu ya kujidoo,

Ukisikia hiyo beat utajuta kunidiss

Nikishika MIC mi nakupa kitu real coz

Leo niko up all the way from down yeah

Chorus

Leo niko upside, leo niko upside

Nimechoka na underground

Nipe nafasi, nipe nafasi

Usiwe na wasi au kasi x2

VERSE 2

Am the best in Kenya, superior than the rest

All the way from west, calling jah to bless yeah

No matter what you claim, I will still excel

Everywhere I go, everything I do

Nobody will be, a crime to me

Celebrity is the label, call me an eagle

I am a nigga throwing, my fingers up and down

To frustrate the waiders, coz leo niko up all the way from down yeah

Leo niko up all the way from down yeah

Chorus

Leo niko upside, leo niko upside

Nimechoka na underground

Nipe nafasi, nipe nafasi

Usiwe na wasi au kasi x2

VERSE 3

Saa hii nimefika, mahali mi nalike,

Ninaenda speed kama ninaride bike,

Ninafeel, niko high why lie,

Niko hike, na psych inaniply

Nimetoka far, situation sitamind,

Ninapledge, mimi sitakosa plight

Mafans wananilike kama chapaa

Hakuna kuogopa sibebi silaha

Wacha kunidiss sikunywi chang'aa

Ujuwe nimefika na ninafly high

Ujuwe nimefika na ninafly high

Na ninafly high

Chorus

Leo niko upside, leo niko upside

Nimechoka na underground

Nipe nafasi, nipe nafasi

Usiwe na wasi au kasi x 4

Outro

Usiwe na wasi au kasi

Usiwe na wasi au kasi

Get this song at:  amazon.com  sheetmusicplus.com

Share your thoughts

0 Comments found