Nonini - Manzi Wa Nairobi lyrics
rate meMachali leo hamtala, machali leo hamtala

Ka we ni manzi wa Nairobi amka uwanza kukatika

Machali leo hamtalala

Ka we ni manzi wa Nairobi amka uwanze kukatika

Ka ka we ni manzi wa Nairobi amka uwanze kukatika

Piga nduru,piga nduru,piga nduru usikike huku kwetu African

Zima nchi zote lazima kelele itafika

Dunia nzima hakuna manzi ka wa Nairobi

Ameng'ra nguo safi kidhani jana amezitoa tope

Kila siku namuona taoo akitembea na maringo

Hata ukimpita lazima utapindua hiyo shingo

Kwa akili nafikiria atafunguaje hizo vifungo

Hiyo jeans imemkaza itamkazia kufika huko

Watu wameshindwa kusema jina yangu Nonini

Sababu nimeona mwingine amenga'ra li nini na nini

Checky vile anatetemeka ni kama nimekunywa chang'aa

Juwa zile vitu nimeona jana jo utashangaa

Jua kali nakwambia utabidi tumeanza kuchangaa

Kama huna bima we ndio utaanza kutanga tanga

Checky yule kakakakakakaka

Checky yule kikakakakaka

Ningekuwa judge misingevaa nisivyo kawaida

Manzi wote wa Nairobi wangeshinda bila shidaaaa

[Chorus]

Hamunioni Nairobi tena nikienda kucheki movie

Ya manzi mpoa haja vaa any ndani ya jaquzi

Hata ka ni Julia Roberts

Nataka wa Nairobi yule anaoganga na hiyo hiyo roberts

Msafi resize yake ameshisha kiplani

Msauni muatherere anaweza kumalizia ganji

Hakuona kwa kichwa yake ameketisha sisasini

Na kaa kawaida kwa mfuko anaingiza profit ya hamsini

Mchukuwe manzi yoyote yule humjui

Kama hutaki kosana sana na wale wako Kitui

Lakini watu husema wanataki ya hiyo mi sijui

Kuwa ready kupelekwa mbio ama utawika u-u-uwii

Na naongea from experience niliacha moja juzi

Mluhya kumunduyo manzi ameshona bana

Hizo miguu zake amezitumia sana

Wacha ikae ka ni huyo mi nawika hapana

(Mjaluo)

Saa umeongea, huyo ndio mambo yote

Nyuma ukimchecki mazee ambebe zote

Nikisimama na yeye, tunatoshana

Tukipoa down ni mrefu, tena sana

Nashindwa nikimpata hizo mizigo nitaezana

Usiniulize mzigo gani, wajua wacha kujifanyaaa

aa-aa-aa-aaaaaaaaa Nonini

[Chorus]

Si-ta-choka na kuwapatia manzi wa Nairobi sifa

Hii ngoma inaeza enda one hour kabla haijaisha

Kuna manzi mpoa ni ugonjwa huaga ameshikishwa

Mabeste wanaambia Nonini huwa umerogwa

Nimerogwa na ninazidi kuroga juu ya vile wananiroga

Au vipi jua kali (mmh mmh)

Nakwambia ukweli mi si muongo wala muoga

Ukilala wasikia sauti yangu na kwambia songa

Ukikaa niko kando yako bado ukibuy mboga

Kwa bafu kwa bafu kwa bafu

Niko nyuma yako na kusugua mgongo tukiogaaa

Machali leo hamtalala

Ka we ni manzi wa Nairobi amka uwanze kukatika

Ka we ni manzi wa Nairobi amka uwanze kukatika

Machali leo hamtalala

Machali leo hamtalala

Carlif records

Aaaii, wewe hii track ni kali

Aaaii, aaaii,wewe hii track ni kali, aaaii...