Ali Kiba

Ali Kiba - Cinderella lyrics

rate me

2fois ( owa! uh!uh!uh!uh!uh!uh!uh! yahe!yahe) mara ya mwicho mimi na wewe ku onana kipindi kile twasoma shule ya msingi kigoma yakhe! Yakhe! najuwa uli nipenda ila haukutaka penzi ku lilinda ugesema mapema ili niuma sana

( mimi leo niko dar aliye nipenda nilisha muoa je wataka kumjua jina aitwa cinderella )

rudi home wewe rudi nyumbani wasalimie kigoma wambie nishaoa uli nitesa sana sababu nilikupenda wajuwa kijiji kwa babi kigoma iliniuma sana

akuna ajuwaye rangi ya kinyonga zaidi ya yeye mwenyewe na muumba nami nakujuwa mwenyewa hauwezi ringa baby! baby! na nakuonw wewe mnyonge sana hata nami nilikuwa hivyo kule kigoma usiliye kwa uchungu bwana nime kuhitaji sana

uliniahidi mapenzi nikweli uliniteka kadri siku zilivyozidi sio siri baby uka nitesa mami mara uko busy mami mshamba wa mapenzi sindo uwaga cha nami yo ila ninapo kuona ninapokuona moyo unazima nakumbuka tu kigoma nakosa raha mwenyewe si una nihona ila cinderella ka poza moyo ku joma Mm!! mimi najoka akiya mungu igaha nigest baby na juwa majungu nigetaka kuwa nawe nigetaka kuwa nawe nigetaka kuishi nawe ila tu mimi nilisha bay yo iyo ni true ma' nilisha pata mwengine ambaye ana nifaa ya

(Merci à annakisasu pour cettes paroles)

Thanks to Myboss Original. for correcting these lyrics

Get this song at:  amazon.com  sheetmusicplus.com

Share your thoughts

1 Comments found

Anonymous
Friday 3rd of August 2012 08:08
aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!it`s awesome!!!!!!!!!!!!!!!!ya